DeroscUliza WhatsAppZangu

Pasi ya kutazama

Lipa mara moja, tazama filamu na series zote hapa kwa muda wa pasi. Kupakua ni malipo ya kila filamu.

M-Pesa, Airtel Money au Mixx by Yas.

Pasi inafanya kazi kwenye simu 2. Hakuna makato ya kiotomatiki: ikiisha, chukua nyingine wewe mwenyewe wakati wowote. Ukinunua kabla haijaisha, siku zinaongezwa mwishoni.